Description
Battery ikikataa katikati ya day ni stress mob, lakini hii slim Oraimo power bank inakuokoa juu iko na charge capacity ya 10000mAh.Hii ni slim light na pocket friendly so unaibeba tu kwa mfuko ama handbag, inacharge haraka na inatosha Kuskuma simu yako upto 2-3 times full




Reviews
There are no reviews yet.